Free Mafundisho ya Yesu Mlimani

Free

Details

Location

Nigeria Abuja - Abaji

Category

Sports & Leisure > Books & Magazines

Published Date

19/10/2023

Visitors

360

Description


Kristu anazungumza (Sehemu za kitabu «Hili ndilo Neno Langu»):
Mafundisho ya Mlimani ni njia ya kiroho inayoongoza moyoni mwa Mungu, kwenye ukamilifu.
Ninaongoza watu wangu kwenye ufahamu wa ukweli.
«Heri walio maskini wa roho, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao!» Neno «maskini» halimaanishi ukosefu wa mali. Siyo ukosefu wa mali ndio unaleta raha rohoni bali mshikamano wa kina na Mungu, kwa kutimiza mapenzi yake. Huo ndio utajiri wa kiroho.
Neno «maskini» lamaanisha wale wote wasiotafuta kumiliki na kujirundikia mali… Utajiri wao wa ndani ni maisha katika Mungu, kwa manufaa ya Mungu na ya majirani wao. Wanatimiza amri «Omba na tenda kazi».
«Heri wanaoteswa, kwa maana watafarijiwa.»
Mungu siye mhusika wa mateso ya mwanadamu…
16 pages
Free

https://gabriele-publishing.com/

Location

Vote
Result 0 votes
Gabriele Publishing
0 votes

Images

Free Mafundisho ya Yesu Mlimani

More ads of this seller