Mark as ...
Free Mafundisho ya Yesu Mlimani
Free
Details
Location
Abuja -
Category
Sports & Leisure > Books & Magazines
Published Date
19/10/2023
Visitors
376
Description
Kristu anazungumza (Sehemu za kitabu «Hili ndilo Neno Langu»):
Mafundisho ya Mlimani ni njia ya kiroho inayoongoza moyoni mwa Mungu, kwenye ukamilifu.
Ninaongoza watu wangu kwenye ufahamu wa ukweli.
«Heri walio maskini wa roho, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao!» Neno «maskini» halimaanishi ukosefu wa mali. Siyo ukosefu wa mali ndio unaleta raha rohoni bali mshikamano wa kina na Mungu, kwa kutimiza mapenzi yake. Huo ndio utajiri wa kiroho.
Neno «maskini» lamaanisha wale wote wasiotafuta kumiliki na kujirundikia mali… Utajiri wao wa ndani ni maisha katika Mungu, kwa manufaa ya Mungu na ya majirani wao. Wanatimiza amri «Omba na tenda kazi».
«Heri wanaoteswa, kwa maana watafarijiwa.»
Mungu siye mhusika wa mateso ya mwanadamu…
16 pages
Free
https://gabriele-publishing.com/
Location
More ads of this seller
-
Mnaishi milele. Hakuna mauti
Sehemu za kitabu. Kwa nini watu wengi wana woga wa jambo linaloitwa kifo? Kwa nini watu wana hofu mwingi, woga na kukosa ukubali wa jambo linaloambatana na maisha yetu ya kibinadamu? Dhana ya watu kuhusu kifo inayowatia hofu, wasiwasi au tena kukata ...
-
Ebook Where Did I Come From? Where Am I Going?
Life after Deatth - The Journey of Your Soul This book conveys knowledge about very basic spiritual correlations. It contains incisive questions and answers to the topic of “life after death.” For example: How does death take place? What does the sou...
-
PDF bure Maisha ya raha hadi uzeeni
Madondoo ya brosha : Brosha itolewayo bila malipo yenye mada kuu "Ujumbe wa ukweli" Cha muhimu si miaka, bali mtazamo wetu kuhusu maisha. Gabriele anatutolea maelekezo kamili ili tuipe thamani maisha yetu, kubaki au kugeuka upya tena vijana ndani mwe...
Similar adds